Wasemaji wa nini yaani bongo kuna ujinga mwingi, teams zicheze mpira matokeo yaonekane , huyo Manara mwenyewe alikua ana jimwambafy ndio source ya kujaza uwanja juzi kati hapa team iliyumba mashabiki wakapungua uwanjani , kama wasemaji wangekua wanasaidia club bingwa Africa ingekua simba lkn mpira hauna hayo makitu yenu let's play football not politics