Ama mbinu za kummaliza Adui yako si kwenye vita pekee;hata Yanga Makonda alituua na kutumaliza kabisa hasa baada ya Mhe Diwani wa Mbagala na Jembe la Yanga (Manji)kubambikiwa kesi za hovyo kabisa kisa ni maendeleo ya Yanga!
Katika siku nimeumia ni leo!Huu ushindi wa Siasa ya mpira kwa hao Waarabu wepesi sisi tungejichukulia Jimbo kwa hata goli 10!
Lakini bwana kwa sababu alizozijua yeye Makonda aliamua kutuonea na kumuumiza ndg yetu na kutuharibia kabisa chama kubwa Y!
Anyway, ya Mungu mengi.Ipo siku sisi pia atatuhurumia na kuturejeshea Jimbo letu.
Viva Yanga!