Kuna wakat inabid ubadili uchezaji wako kwa manufaa yako
Na declare interest mimi ni simba lunyasi dam dam ila na wish Uto waingie makundi(sio kwamba nawapenda hapana ila nataka waingie makundi then wamalize na point moja tu kwenye kundi huku wakishika mkia ili wajue wanaune kule huwa tunafanya kazi sio kucheza).
Wakiishia hapa mtoano wataendelea kujifariji tunabahatisha
Twende kwenyw ushaur:- Man city msimu huu na uliopita wamekuwa wakicheza kwa kitumia viungo wengi sana na sometime bila striker.
Wamekuwa wakicheza na no 6 wawili uwanjani (rodri na gundogan na no 8 wawili uwanjani(silver na kdb) hii inawa unafuu kwenyw kukaba pamoja na kushambulia pamoja huku wakiwapa nafasi mabeki zao wa pemben kucheza kama mawinga(ndo maana cancelo ana assist )
Yanga panga kikosi iv
1. Diara 2.amna mtu 3. Amna mtu 4. Job 5. Mzanzibar yule 6.Mauya 6. Bangala 7. Djuma 8 . Aucho 8 . Sureboy 9. Mayele 10. Feisal 11. Lomalisa
Maana yangu ni hii nyuma watatengeneza shape ya mabeki watattu Mzanzibar/Bangala/Job huku wakishambulia hawa wapembeni Lomalisa na Djuma wakipanda sana na wakitoka nafasi zao zinakuwa covered na wale no 6 wao Mauya na Bangala so badala ya kuweka winga wake wale wanaokimbia bila mipango basi watumie mabeki wa pemben kuwaga cros na kwa bahat nzur hao mabeki wawili wako vzr kwenye hilo
Katikati watatawala sana maana watakuwa na viungo watano Mauya anazuia tu na tunajua anaweza/bangala anazuia/sureboy na aucho wanamiliki mpira na kupiga pasi huku mbele feisal na mayele wakimaliza kazi
Team hiyo inaweza kushambulia kwa pamoja na kukaba pamoja na kwa bahat nzuri zaid watamiliki mpira kwa % hata zaid ya 70
Hii inaweza wasaidia leo kutoka na ushindi mnono halaf second half wakat waarabu wamechoka ingiza Morison na Farid kwa sababu hawa wawili ni winga ambao wanalazimisha kuingia ndani huku wakitoa assist na kuleta madhara ya kuchezewa faulo(narudia achananeni na wale winga wakongoman ambao kazi yao ni kukimbia mpk nje ya uwanja Morisom na Farid wana madhara zaid kuliko zile takataka mbili za kikongo)
Kingone achen ulokole tien dawa kdg muda wa half time kwenyw vyumba(narudia kdg sio mzidishe mpk wagundue[emoji23][emoji23][emoji23] weka kdg tu kama sisi wakiingia kuanzia dak ya 70 wanakuwa wazito sana hapo mnaingiza morison na farid mnaua game
Half sasa hapo uto mkienda ugenini zuien zaid ili muingie makundi then kule makundi mpangwe na
Mazembe
Wale waarabu wa azam
Wale wa south
Halaf nyie underdog
Mkung'utwe mechi zote kasoro mechi moja ya hapa home ndo mpate sale hapo ndo mtaelewa wanaume huwa tunaingiaje robo fainal
Nb : nakumbuka pitso aliwaambia " ukitaka kuwa bora na kufanya vzr kwenye soka la africa mnapaswa uwanja wenunwa nyumban ni lazima mshinde sio kusale mshinde