The Conscious
JF-Expert Member
- Mar 18, 2021
- 740
- 1,218
Mayele anacheza beki?Si mlisha sema mayele ni copy ya haaland wasi wasi wa nin watani
Mpira ni kitu cha ajabu sana yoyote anayejiandaa vizuri anapata matokeo popote.
Kuna timu tushaziona zimeshinda ugenini zikaja kutolewa nyumbani hakuna formula eti ukishinda nyumbani magoli mengi na usiporuhusu goli basi umepita.
Juaneng Galaxy walishinda kwao? wale Township Rollers hapa si tulitoa nao sare tukawatoa kwao? tucheze kushinda sio kutafta clean sheetsMkuu kwa soka la Africa ni jambo ambalo ni nadra sana kutokea. Na ndio maana kila timu inatamani kumaliza mchezo nyumbani kwake
Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Ndio maana nimesema ni nadra sana, sio kitu kinachotokea mara kwa mara.Juaneng Galaxy walishinda kwao? wale Township Rollers hapa si tulitoa nao sare tukawatoa kwao? tucheze kushinda sio kutafta clean sheets
Labda ufwatili mpiraMkuu kwa soka la Africa ni jambo ambalo ni nadra sana kutokea. Na ndio maana kila timu inatamani kumaliza mchezo nyumbani kwake
Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
vice versaacha uoga wewe yanga ya sasa level yake ni kucheza EPL, ni tishio sana hayo makosa umeyaona vibaya , al hilal anakufa 5-0 mark my words haina haja ya wana yanga kuwa na wasiwasi
weeee tano tuu mbele ya mayele, tunampiga kama ngoma, tunampiga goli 10 bila sisi tuna watu, sisi ndio utopolo bhana, mayele pekee yake anafunga goli 9 anaondoka na mipira mitatu leoacha uoga wewe yanga ya sasa level yake ni kucheza EPL, ni tishio sana hayo makosa umeyaona vibaya , al hilal anakufa 5-0 mark my words haina haja ya wana yanga kuwa na wasiwasi
Wewe hujui hata mpira, kwenye hizi mechi za mtoana team hazichezi kutafuta ushindi badala yake ziwaza kupata cleansheet , maana hatua hii ni magoli ya kufunga na kufungwa ndo vinavyoongea.Unacheza kupata cleansheet au unacheza kupata ushindi?
Huyo haelewi kitu na ndiomaana hata mifano anayotoa ni ile ya kibahatati nasibu, ulichokisema ni sahihi.Ndio maana nimesema ni nadra sana, sio kitu kinachotokea mara kwa mara.
Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Clean sheet mliyopata kwa Juaneng Galaxy iliwasadia nini? Real Madrid imechukua UCL ilikua na clean sheet ngapi kama sio walikua wanakomaa kupindua meza, huo ujinga wa clean sheet ni mawazo ya timu ndogoWewe hujui hata mpira, kwenye hizi mechi za mtoana team hazichezi kutafuta ushindi badala yake ziwaza kupata cleansheet , maana hatua hii ni magoli ya kufunga na kufungwa ndo vinavyoongea.
Unacheza kushinda kwenye hatua ya makundi sio kwenye mtoano.
Ukienda ugenini unazuiliwa kufuga goli? Cha msingi funga magoli mengi mambo ya clean sheet ni kujijaza pressure tuHuyo haelewi kitu na ndiomaana hata mifano anayotoa ni ile ya kibahatati nasibu, ulichokisema ni sahihi.
Kwamfano leo, mechi ya marudiano itakuwa ni rahisi zaidi ikiwa leo hamtaruhusu goli. Ikitokea mmeshinda kwa either 2-1 bado advantage watakuwa nayo Al Hilal maana kule wakiwafunga moja tu kisha wakapaki bus ujue mmetoka.
Kwavyovyote vile Yanga Sc ina kazi mbili leo, kufunga magoli na kuzuia magoli kwa ufasaha.
Hivi kupindua meza kuna kuwa na pressure ndogo? Nyumbani ushindwe kupata matokeo mazuri ya ushindi ukategemee ugenini. Mpira wa Africa haupo hivyo. Ukiachana na galaxy embu tutajie timu walau tatu ambazo zimeenda kupindua meza ugenini ndani ya msimu mmoja. Ni jambo ni gumu sana kwa soka la Africa kutokea ni sawa sawa na bahati nasibu.Ukienda ugenini unazuiliwa kufuga goli? Cha msingi funga magoli mengi mambo ya clean sheet ni kujijaza pressure tu
Siyo beki lakin c anauwezo wa kurudisha magoli yote mtakayofungwa then nyie mnakuwa washindi mbon simple tu
Hii hatua haupaswi kuruhusu goli aiseeSiyo beki lakin c anauwezo wa kurudisha magoli yote mtakayofungwa then nyie mnakuwa washindi mbon simple tu
ukikaidi utapigwa2 njoo utupe tathmini yako.Unacheza kupata cleansheet au unacheza kupata ushindi?