Yanga tunaenda kumsulubu Mnyama kwa mara nyingine

Yanga tunaenda kumsulubu Mnyama kwa mara nyingine

abdulhamis

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2019
Posts
1,436
Reaction score
2,296
Wadau kama kawaida yetu Yanga, Simba huwa hawatusumbui

Wakichomoka pona pona yao ni sare bila ivyo wameumia sababu simba mwaka huu amekua dhaifu Sana mbele ya wananchi. Mimi Nampa yanga ushindi wa mbili kwa moja Tena yanga ataanza kufunga mbili simba atarudisha goli moja dakika ya 80 kuendelea

Save my post
 
😁😁😁 mnyama lazima atoe damu na aanguke tena chalii kile kifo cha mende
 
Yanga IPI hiyo, mmesumbuliwa na namungo,kagera, hoi labda. Muhonge referee
 
Simba kupigwa kipigo cha mbwa koko tena ni kama kifo tu kwa kola kiumbe hai.. Hakikimbiliki....
11 July wananchi wote tukutane wilaya Moja tu TEMEKE tukamtie adabu huyu Filauni
 
Yanga IPI hiyo, mmesumbuliwa na namungo,kagera, hoi labda. Muhonge referee
mikia mmeanza tena kupulizia madawa vyumba vya uwanja wa Taifa ..tarehe 12 tutawakata masikio
 
Ndumba Fc
tapatalk_1593406867350.jpeg
 
Back
Top Bottom