Save my post.Wadau kama kawaida yetu Yanga, Simba huwa hawatusumbui
Wakichomoka pona pona yao ni sare bila ivyo wameumia sababu simba mwaka huu amekua dhaifu Sana mbele ya wananchi. Mimi Nampa yanga ushindi wa mbili kwa moja Tena yanga ataanza kufunga mbili simba atarudisha goli moja dakika ya 80 kuendelea
Save my post
Kakimbia uzi wake.anajuta kuleta huu uzi.Simba 4-1 utopolo.Save my post.
Haya niambie sasa. Pole sana.
Leo ni mwendo wa kufukua makaburi tu [emoji1]Kakimbia uzi wake.anajuta kuleta huu uzi.Simba 4-1 utopolo.
Napitia nyuzi zoote za watopolo.Leo ni mwendo wa kufukua makaburi tu [emoji1]
Wacha weWadau kama kawaida yetu Yanga, Simba huwa hawatusumbui
Wakichomoka pona pona yao ni sare bila ivyo wameumia sababu simba mwaka huu amekua dhaifu Sana mbele ya wananchi. Mimi Nampa yanga ushindi wa mbili kwa moja Tena yanga ataanza kufunga mbili simba atarudisha goli moja dakika ya 80 kuendelea
Save my post
Kwema mkuu?Wadau kama kawaida yetu Yanga, Simba huwa hawatusumbui