Yanga tunamkumbuka Mwinyi Zahera kwa washambuliaji makini aliotuletea

Yanga tunamkumbuka Mwinyi Zahera kwa washambuliaji makini aliotuletea

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
9,137
Reaction score
34,793
Habari wadau,

Nimekubali hujui thamani ya ulichonacho hadi kikiondoka. Mwinyi Zahera tulimfukuza kwa mbwembwe.

Ila mpaka leo yanga haijapata mafanikio kuzidi ya mwinyi zahera japo alikaa mida mfupi kwa timu maskini bila tajiri gsm wala manji na isiyo na viongozi.

Zahera alituletea makambo buree na hata mshahara haukuwepo. Leo Yanga ya GSM inajisifia itamsajili makambo yule yule.

Zahera alituletea david molinga falcao akatufungia magoli kibao. Yanga tukamponda molinga kibongeee na kumfukuza kwa mbwembwe, leo hii yanga haina mshambuliaji hata mmoja aliemkaribia kwa magoli molinga aliekuwa anakaa benchi na kucheza mechi chache.

Kweli Mwinyi Zahera wanayanga tuna-mmiss
 
Tatizo mmezidi Unyumbu.

Yaan viongozi wenu wakiamka na hili mnalifuata kama lilivyo.
 
Zahera ni kama Jamhuri Kihwelo kazi yao kulaumu marefariii tu.

Kila mechi refa hafai! Mdomo mwingi matokeo zero!
 
Back
Top Bottom