Hadi sasa kwa nini wengine wakifunga goli moja wanapostiwa vizuri mitandaoni sisi wanaishia kusema "kimoko"
Yaani hata Azam media nao wanatuhoji maswali magumu kuliko ya wenzetu.
Yanga haisemwi vizuri ijapo imeshinda mechi zote.TFF inatuonea sana,maana waamuzi inaotupangia hawaoni kama tunakabwa sana kuliko wenzetu.Watangazaji wa Azam wala hawakushangilia sana goli tulilofunga.
Sijui tumewakosea nini maana hata wachambuzi wa mpira wa kimataifa hawatupost kama wanavyowapost wenzetu wanaocheza kombe la luza.
Tuamke wananchi tulalamike hadi TFF,bodi ya ligi wasikie kilio chetu.