ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Tupo Nyumbani na pamoja tumepata zuio la kutowatumia nyota wetu watatu bado tuna watu...
Makambo .....Moloko....Yacouba....
Bangala.....Mukoko......Ntibazokiza...
Wananchi vita hii tunakwenda kuishinda licha ya kelele na kejeri nyingi mitaani....tunasema afile munu asigale munu!(in Dula Mbabe's voice)
The Return of Champions!