ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Ziliisha,ila mzigo mpya unafika leo jioni,jmosi mapema kabisa utazipata kwa Roby one.Mwenye Jersey za Rivers please
Sawa. Nitatinga hapo Roby One.. StudioZiliisha,ila mzigo mpya unafika leo jioni,jmosi mapema kabisa utazipata kwa Roby one.
Mungu ibariki timu yetu Rivers utd.
Tupo Nyumbani na pamoja tumepata zuio la kutowatumia nyota wetu watatu bado tuna watu...
Makambo .....Moloko....Yacouba....
Bangala.....Mukoko......Ntibazokiza...
Wananchi vita hii tunakwenda kuishinda licha ya kelele na kejeri nyingi mitaani....tunasema afile munu asigale munu!(in Dula Mbabe's voice)
The Return of Champions!
Heri huyo, umesahau ya SerunkumaTimu inamchezaji anaitwa bangala hivi kweli[emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa wewe nini kibovu hapoHeri huyo, umesahau ya Serunkuma
Na wewe wakikuita Likuma utakubali?Sasa wewe nini kibovu hapo
Wewe wakikuita libangala utakubali?
Wewe ni Yanga weweNa wewe wakikuita Likuma utakubali?
Hahahaha ushapaniki,mchezo huu hauhitaji hasiraaaaaaWewe ni Yanga wewe
Unaonekana tu
Sasa hapo we mama j mimi nimetaja jina zima Libangala
Wewe ulivo mgando kwa kichwa ushatoa herufi za mwanzo ili utaje mali unayomiliki ulitakiwa useme Lisserunkuma ndo jibu sahihi sawa dadaangu?
Tuchague kauli mbiu ipi?.
Ya Dula mbabe au Mabingwa wa Mapinduzi cup wamerejea?.
Golini tuna mtu hafi mtuTumieni yoyote, kufa kuko palepale.