Yanga tunatangaza Rasmi Ubingwa Kwenye Mechi zetu dhidi ya Azam pamoja na Simba

Mzee Wa Kazi Chafu

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2022
Posts
2,245
Reaction score
4,966
Wananchi Najua Mnajua Tutakachokifanya Kwenye Mechi Hizo Ni Rasmi Tutangaza Ubingwa Hapo Wale Wanaokaza Vichwa Na Kuleta Ubishi Wa Ukoo Na Matokeo Yao Ya Kimazoea Kila Msimu Wana Salamu Zao Kutoka Kwa Mzee Wa Kutocheka Na Kima Mbele Nyavu Mtaalam Fiston Kalala Mayele [emoji460] Amesema "Nitatetema Nao Jumla Jumla" ( In Former RC Mwari Voice [emoji41])
 
Anza rehearsal ya sebene la Fiston Mayele mapema kutetema.🔥🔥
 
Back
Top Bottom