Wananchi Najua Mnajua Tutakachokifanya Kwenye Mechi Hizo Ni Rasmi Tutangaza Ubingwa Hapo Wale Wanaokaza Vichwa Na Kuleta Ubishi Wa Ukoo Na Matokeo Yao Ya Kimazoea Kila Msimu Wana Salamu Zao Kutoka Kwa Mzee Wa Kutocheka Na Kima Mbele Nyavu Mtaalam Fiston Kalala Mayele [emoji460] Amesema "Nitatetema Nao Jumla Jumla" ( In Former RC Mwari Voice [emoji41])