Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiboga kabisa mamaaaeeee na kijimbi vip hawajaliwa!!
We umechanganyikiwa mkuu,hata timu ya sumbawanga ilitufunga,ss tunataka TPLBikra mmeshatolewa sasa vipigo ni aluta kontiniuwa😂😂😂😂.
.
Arsenal alitolewa siku moja tu akanogewa, man city alitolewa siku moja tu akanogewa.😂😂😂😂
kumbe mikia mlitolewa na Mbao bikra..duuhh...TPL hakuna timu ya kuifunga Yanga ...Bikra mmeshatolewa sasa vipigo ni aluta kontiniuwa😂😂😂😂.
.
Arsenal alitolewa siku moja tu akanogewa, man city alitolewa siku moja tu akanogewa.😂😂😂😂
Hata ile match tuliyofungwa Sumbawanga mlichonga ngenga hivi hivi.Bikra mmeshatolewa sasa vipigo ni aluta kontiniuwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
.
Arsenal alitolewa siku moja tu akanogewa, man city alitolewa siku moja tu akanogewa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bikra mmeshatolewa sasa vipigo ni aluta kontiniuwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
.
Arsenal alitolewa siku moja tu akanogewa, man city alitolewa siku moja tu akanogewa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]