Yanga: Tunawapongeza Watani Zetu

Bikra mmeshatolewa sasa vipigo ni aluta kontiniuwaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
.
Arsenal alitolewa siku moja tu akanogewa, man city alitolewa siku moja tu akanogewa.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Bikra mmeshatolewa sasa vipigo ni aluta kontiniuwaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
.
Arsenal alitolewa siku moja tu akanogewa, man city alitolewa siku moja tu akanogewa.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
We umechanganyikiwa mkuu,hata timu ya sumbawanga ilitufunga,ss tunataka TPL
 
Kwani matokeo ngapi ngapi? Naona kuna Jamaa ameleta thread kaishia kati ,nikajua labda yanga wamegoma kuendelea na mechi maana Jamaa kaishia kuleta update dakika ya 79
 
Bikra mmeshatolewa sasa vipigo ni aluta kontiniuwaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
.
Arsenal alitolewa siku moja tu akanogewa, man city alitolewa siku moja tu akanogewa.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
kumbe mikia mlitolewa na Mbao bikra..duuhh...TPL hakuna timu ya kuifunga Yanga ...
 
Mikia bhana! Yanga kafungwa kwenye bonanza kule Zanzibar hakuna aliyekataa! Dunia yote inajua Yanga ndiyo timu pekee ambayo haijafungwa katika ligi, mnaumia lakini ndio hivyo! Kama ni 'just' kufungwa mbona tulifungwa na timu ya Sumbawanga!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bikra kama kutolewa alifungwa na Sumbawanga United kabla ya jana.

Katika ligi kuu bado hajafungwa..!
Bikra mmeshatolewa sasa vipigo ni aluta kontiniuwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
.
Arsenal alitolewa siku moja tu akanogewa, man city alitolewa siku moja tu akanogewa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…