Yanga TV Channel kifo cha mende?

Yanga TV Channel kifo cha mende?

MTAZAMO

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2011
Posts
19,675
Reaction score
33,583
Wakuu,

Hivi ile Channel iliyozinduliwa kwa mbwembwe zote na bashasha Yanga TV Channel imeangukia pua?

Tujuzeni maana hadi Mpenja ana studio sasa Uto hawasomeki!

Ila hizi timu za Kariakoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Daima nyuma, mbele mwiko!!!
 
Yaani

Umetoka sijui kwenye daladala umesikia huu upuuzi kwankonda umekuja kuanzisha uzi[emoji3]
 
Waliuza haki zote kwa Azam kwa Miaka 10 kwa Tsh 41bil

Simba wao huuza mechi na matukio yake kwa 2.5bil kwa mwaka, huku wakiendelea na TV na App yao (Ripoti ya Simba kwenye Kikao chao Mwaka jana)
 
Waliuza haki zote kwa Azam kwa Miaka 10 kwa Tsh 41bil

Simba wao huuza mechi na matukio yake kwa 2.5bil kwa mwaka, huku wakiendelea na TV na App yao (Ripoti ya Simba kwenye Kikao chao Mwaka jana)
Yanga Tv iko Youtube na ina namba nzuri tu, Yanga App pia ipo veeery live.
 
Hawa jamaa bwana huwa wana mbwembwe kweli, wameajiri mpaka digital manager lakini YANGA APPLICATION chao kanasumbua kweli mara siku kakubali mara kakatae basi ni shida tupu

Ujinga mwingine ni hii festival ya wachekeshaji uchwara waliyoiandaa kuwacheka wenzao waliofika robo fainali ya mabingwa. Kama wakifanya utopolo huu nitashangaa sana hawa vijana
 
Wakuu,

Hivi ile Channel iliyozinduliwa kwa mbwembwe zote na bashasha Yanga TV Channel imeangukia pua? Tujuzeni maana hadi Mpenja ana studio sasa Uto hawasomeki! Ila hizi timu za Kariakoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Daima nyuma, mbele mwiko!!!
Ni kamrija ka upigaji wa hela wa vijana wa mjini, kama lilivyo tamasha la kumcheka mtani. Ngoja wafaidi maana ajira za timu hizi huwa sio ndefu ndefu
 
Back
Top Bottom