Hana ajualo ,ushabiki mbele akili pembeniHujui kwamba Azam walinunua haki za matangazo ya yanga TV
YaaniWakuu,
Hivi ile Channel iliyozinduliwa kwa mbwembwe zote na bashasha Yanga TV Channel imeangukia pua?
Tujuzeni maana hadi Mpenja ana studio sasa Uto hawasomeki!
Ila hizi timu za Kariakoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Daima nyuma, mbele mwiko!!!
Yanga Tv iko Youtube na ina namba nzuri tu, Yanga App pia ipo veeery live.Waliuza haki zote kwa Azam kwa Miaka 10 kwa Tsh 41bil
Simba wao huuza mechi na matukio yake kwa 2.5bil kwa mwaka, huku wakiendelea na TV na App yao (Ripoti ya Simba kwenye Kikao chao Mwaka jana)
Ni kamrija ka upigaji wa hela wa vijana wa mjini, kama lilivyo tamasha la kumcheka mtani. Ngoja wafaidi maana ajira za timu hizi huwa sio ndefu ndefuWakuu,
Hivi ile Channel iliyozinduliwa kwa mbwembwe zote na bashasha Yanga TV Channel imeangukia pua? Tujuzeni maana hadi Mpenja ana studio sasa Uto hawasomeki! Ila hizi timu za Kariakoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Daima nyuma, mbele mwiko!!!