Yanga, ule unafaa kuwa wimbo wa Motisha mechi zote

Yanga, ule unafaa kuwa wimbo wa Motisha mechi zote

Auto-Marvelt

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2019
Posts
1,653
Reaction score
3,336
Raisi wa club ya Young Africans Eng. Hersi Ally Said akiwa Congo alijitahidi sana kuwa na wakati mzuri na mashabiki pamoja na wanachama wa klabu pale Lubumbashi. Matukio yalokuwa mengi sana ila kilichonifurahisha/kilichotufurahisha ni ile hamasa kutoka kwa Wakongo.

Hapa tarumbeta,
Hapo dufu,
Kule ngoma,
Pale miuno ya kikongo
Kubwa zaidi ni Goma la ushindi
𝗟𝗲𝗼𝗼𝗼𝗼𝗼𝗼𝗼𝗼𝗼𝗼𝗼𝗼𝗼𝗼𝗼 𝗟𝗲𝗼𝗼𝗼𝗼𝗼𝗼𝗼𝗼𝗼𝗼𝗼𝗼𝗼𝗼 𝗻𝗱𝗼 𝗟𝗲𝗼𝗼𝗼𝗼𝗼𝗼𝗼𝗼𝗼𝗼𝗼𝗼𝗼𝗼𝗼𝗼𝗼𝗼𝗼𝗼𝗼𝗼𝗼𝗼𝗼𝗼𝗼𝗼𝗼𝗼𝗼𝗼𝗼𝗼𝗼

𝗟𝗘𝗢𝗢𝗢𝗢𝗢𝗢𝗢𝗢𝗢𝗢𝗢𝗢𝗢𝗢𝗢𝗢𝗢𝗢𝗢𝗢𝗢𝗢𝗢𝗢𝗢𝗢𝗢
𝗞𝗶𝘃𝘂𝗺𝗯𝗶𝗶𝗶𝗶𝗶𝗶𝗶𝗶𝗶𝗶𝗶𝗶𝗶𝗶𝗶𝗶𝗶𝗶𝗶 𝗻𝗮 𝗝𝗮𝘀𝗵𝗼𝗼𝗼𝗼𝗼𝗼𝗼 𝗟𝗲𝗼𝗼𝗼𝗼𝗼

𝗦𝗛𝗔𝗡𝗚𝗪𝗘 𝗟𝗔 𝗪𝗔𝗡𝗔𝗡𝗖𝗛𝗜 Lubumbashi[emoji91][emoji91][emoji1430]


Huu wimbo usipopuuziwa utaleta morali kubwa sana kwenye timu.

caamil_88-20230403-0001.jpg

Ali kamwee
 
Back
Top Bottom