Yanga Usajili wa gharama ni wa nini?

Yanga Usajili wa gharama ni wa nini?

kipara kipya

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2016
Posts
18,833
Reaction score
23,276
Njia za mkato za ubingwa zipo tena rahisiiii
IMG_20221030_115424.jpg
 
Njia za mkato za ubingwa zipo tena rahisiiiiView attachment 2402139
Inabidi team ipate ushindi ili wananchi wasipate mda wa kuhoji na kujua nini kinaendelea kwenye umafia wa uwekezaji wa GSM yanga ndio maana ushindi unatafutwa kwa njia yoyote ile maana Caf champions league wameangukia pua hyo njia hata mo dewji ndo anaitumia team ikiwa inapata matokeo mazuri hakuna anayehoji uwekezaji na team inavyoendeshwa hvyo inakuwa rahisi kuiendesha bila kelele otherwise mambo yangekuwa tofauti.
 
Bongo tuna upumbavu mwingi saana mmoja wapo huu wa usimba na uyanga.. Kosa likiwafahidisha yanga, simba tutakuja mbio mbio, tutakebehi kukejelu na kila kitu, hivyo kwa simba, yanga watakuja nduki nene.

Azam, ihefu, namungo na woote timu shiriki ni wahanga wa waamuzi wetu wabovu marefa wetu wabovu mnooooo
 
Back
Top Bottom