PintoG
JF-Expert Member
- Jun 12, 2017
- 612
- 732
Katika dunia hii ya technologia iliyokomaa watu wanapunguza muda wa kwenda kwenye ma-ofisi mguu kwq mguu.
Club ya Yanga kama kweli wanataka kuongeza wigo wa wanachama wao.waanzishe mfumo wa kusajili wanachama wapya kwa njia ya mfumo .ambapo mtu atajisajili kupitia simu ama computa na kulipa ada.
Binafsi natamani sana kuwa mwanachama ila sasa mida wa kuanza kutafuta matawi na kujaza makaratasi ndo ngumu. Viongozi hebu fungueni macho, halafu mboreshe pia app na website ya team, igeni kutoka vilabu vya inje,ukiingia website unaweza pata kila kitu cha club hapo.
Wekeni mfumo watu tujisajili kuwa wanachama tulipe ADA.amkeni dunia ipo kiganjani.