Yanga: Usajili wao kama wanaenda kucheza UEFA, Serikali iingilie kati

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Hawa jamaa wanazofanya Sasa Ni sifa ...... Zimezidi viwango haiwezekani timu inasajili wachezaji proffesinal Sana kuzidi timu zote east Africa

Sisi Kama wadau wa michezo tunaomba Serikali inabidi iingilie kati, hivi hawa Yanga kwani wanaenda kucheza (UEFA) ?![emoji38]

11 - [emoji1110] Bernard Morrison
10 - [emoji1059] Stephan Aziz Ki
09 - [emoji1078] Fiston Mayele
08 - [emoji1254] Khalid Aucho
07 - [emoji1268] Razarus Kambole
06 - [emoji1060] Gael Bigirimana
05 - [emoji1241] Mwamnyeto
04 - [emoji1078] Yannick Bangala
03 - [emoji1078] Lomalisa
02 - [emoji1078] Djuma Shabani
01 - [emoji1159] Djigui Diarra

Sub ya Aziz Ki >>>> Feisal [emoji38]

Mi naona hakuna fair competition kwenye league
View attachment 2287169
 
Katika ligi ya Bara, ni wachezaji nane tu wa kigeni wanaoruhusiwa kuhusika katika mechi moja, yaani wanaocheza na wanaokaa benchi. Wengine wanatakiwa wakae jukwaani au wabaki hotelini
 
Hatushindani wala hatuwaangalii Yanga wanafanya Nini hayo ni mambo ya kizamani, sisi tunaangalia timu inahitaji nini Ili ikawe timu shindani
Vp unamaanisha... hamtaki kujifunza kwa aliye fanikiwa?
 
Katika ligi ya Bara, ni wachezaji nane tu wa kigeni wanaoruhusiwa kuhusika katika mechi moja, yaani wanaocheza na wanaokaa benchi. Wengine wanatakiwa wakae jukwaani au wabaki hotelini
Kosi la kimataifa
 
Ushamba na ulimbukeni ni kitu kibaya sana, yaani mtu unajitoa ufahamu kama umekunywa maji ya chooni vile. Yaani kama una watoto wakisoma huu Utopolo watatamani bora wangekuwa yatima.
 
Kweli kabisa! Hata wale akina Victor Akpan, Moses Phiri, Nassoro Kapama, Habib Kiyombo, Mzamiru Yassin aka Kiungo Punda, Nahodha John Bocco, na wengineo wengi!

Tutawaona tu msimu ujao.
Daaah nawaza ....sijui ligi itakuwaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…