Yanga v/s Police Stars

Yanga v/s Police Stars

Wonderful

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2015
Posts
7,347
Reaction score
5,986
Dk 12 bado bilabila.

----------UPDATE-----------
FT.
Yanga3-0Police Combain.
-Msuva-28
-Tambwe-33
-Ngoma-75
 
Pamoja na ushindi huo, kiwango cha Yanga kilikuwaje?

Mkuu,Yanga bado hawajawa na finishing nzr maana Ngoma bado mgeni naona kocha anataka kumtumia kama mshambuliaji wa mwisho.
But tofauti na washambuliaji wa kati(9,10)sehemu nyingine ni full muziki.
Kuna dogo1 ni beki wa kushoto ametokea znz,huyo dogo ni hatari sana maana ana pumzi si mchezo bcoz anapanda kama winga na anarudi kudifensi.Pia J.Abdul kawa mzr sana bcoz nae pia anapanda kushambulia na kurudi.Msuva ktk ubora wake na Tambwe,Kaseke kama kawaida yake.Mriberia pia yuko poa sana now.
 
Mkuu nakushukuru sana kwa analysis nzuri.
 
Upande wa mashabiki vp walijitokeza wengi?
 
Niliuona huo mchezo...cha kusiitisha tena bila ushabiki kabisa nasema timu yangu ya yanga wamechemsha kumsajili ngoma...hana kiwango cha kucheza yanga.....na pia hatokuwa na yanga kwenye ligi
 
Mbona unatutisha mkuu! Kwani uwezo wake ukoje!!!?
 
Tatizo wengi hawajamuona na walio wengi ni wanazi kupindukia...hawataki kusema ukweli..
Mzito,hana ubunifu,uchezaji wake hauna tofauti sana na mwape kama ulimuona ,ingawa yy anaonekana anaumli mdogo kuliko mwape...kifupi ni galasa
 
Kama ndivyo hivo basi niseme yanga haipo makini katika kusajili wachezaji wa mbele, ref...........
Mwape, Jama mba, Jaja, Sherman na huyo sasa Ngoma.
Tumeshaingia choo cha kike tayari.
 
Yanga ipo kwenye wakati mgumu kuhusu mapro wake...mpaka sasa wameshafikisha 7,wakumkata pekee aliyebaki ni sherman tu, cotinyo anaonekana ameizoea ligi ya bongo,anachza vizuri sana,nadhani sherman na ngoma watakatwa na hatutakuwa nao kwenye ligi kwani kagame itaonesha mapungufu yao
 
Back
Top Bottom