[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] yondani Ramos aseeeeUturuki Singeri, Morogoro mpira..Yanga anaongoza 2-0..Yondani Ramos kaongeza lapili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah..sanaaa Tuuuuuu[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] yondani Ramos aseeee
Sent using Jamii Forums mobile app
Gudaaaaaa....naona tunaliamsha dude kama vyote ....tukitoka hapo tunaomba msimamo wa ligi tafadhali
Sisi ni Mabingwa wa kihistoria, usiogope wanyama wa kuchora.Gudaaaaaa....naona tunaliamsha dude kama vyote ....tukitoka hapo tunaomba msimamo wa ligi tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
asante comrade
Nyinyi na litimu lenu lilitoka uturuki kutalii Jana mmeshinda moja kwa mbindee mbona mlishangilia ....tena mumeshinda kwa tabu kama zote kwenye uwanja wenu wa nyumbani ...kwendraaaaa tuache tufurahiHii inaonyesha jinsi yanga ilivyoshuka. Yaani inaofunga Mtibwa tena wakiwa nyumbani alafu watu wanakenua na kufurahi kama kitu cha ajabu sana. Inasikitisha!
Unahitaji kuSquirt, mabwana wapo humu.Endeleza juhudi.Hii inaonyesha jinsi yanga ilivyoshuka. Yaani inaifunga Mtibwa tena wakiwa nyumbani alafu watu wanakenua na kufurahi kama kitu cha ajabu sana. Inasikitisha!