Yanga vipi?

wana yanga mnavoshangaa ushindi utazani mmeona bombadia ubungo!!
 
Waliozoea ushindi yanga maana ilo kombe we we unaona umepata mwaka huu yanga kachukua tatu mfululizo sasa kuchukua Mara moja baada ya yanga kuyuamba kiuchumi imekuwa mmezoea...???? Aisee ama kweli maskini akipata matako hulia mbata
Hahaaaa. Umesahau na ile Kuku akitaga yai moja ana kelele huyooo. Teh teh.

(Mnisamehe Kaka zangu watani tunaoheshimiana) [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…