T thechosenone Member Joined Jan 10, 2016 Posts 17 Reaction score 5 Jun 8, 2017 #1 Game ya Yanga vs Afc Leopards ya Kenya.. Bado matokeo ni 0-0 Kipindi cha pili YANGA 0-0 AFC LEOPARDS ‘LIVE’ MAPUMZIKO, SPORTPESA SUPER CUP, UWANJA WA UHURU
Game ya Yanga vs Afc Leopards ya Kenya.. Bado matokeo ni 0-0 Kipindi cha pili YANGA 0-0 AFC LEOPARDS ‘LIVE’ MAPUMZIKO, SPORTPESA SUPER CUP, UWANJA WA UHURU
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 52,812 Reaction score 71,392 Jun 8, 2017 #2 Sawa mkuu..utupe updates zaidi
I isaack kalinga Senior Member Joined Jun 5, 2017 Posts 162 Reaction score 47 Jun 8, 2017 #3 Umeeleweka mkuu
M Malata Junior JF-Expert Member Joined Nov 29, 2011 Posts 3,104 Reaction score 2,550 Jun 8, 2017 #4 Simba kuweni na uzalendo kama kwenye makanikia,sitegemei kuwaona mkishangilia timu ya nje na kuzomea ya nyumbani.
Simba kuweni na uzalendo kama kwenye makanikia,sitegemei kuwaona mkishangilia timu ya nje na kuzomea ya nyumbani.
M Mbojo JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 1,593 Reaction score 1,309 Jun 8, 2017 #5 Ni wakati sasa wa TFF kuwa na imani na timu za mikoani. Wanachofanya Yanga hakina tofauti na wenzao simba. Tunadhalilishwa sana na timu za kenya.
Ni wakati sasa wa TFF kuwa na imani na timu za mikoani. Wanachofanya Yanga hakina tofauti na wenzao simba. Tunadhalilishwa sana na timu za kenya.
Papaa Gx JF-Expert Member Joined Oct 10, 2016 Posts 11,097 Reaction score 17,929 Jun 8, 2017 #6 Wabovu wale
I isaack kalinga Senior Member Joined Jun 5, 2017 Posts 162 Reaction score 47 Jun 8, 2017 #7 Matokeo jaman
M Mbojo JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 1,593 Reaction score 1,309 Jun 8, 2017 #8 Penati zinapigwa.
Lussadam JF-Expert Member Joined Oct 13, 2007 Posts 1,341 Reaction score 907 Jun 8, 2017 #9 YANGA OUT
Lussadam JF-Expert Member Joined Oct 13, 2007 Posts 1,341 Reaction score 907 Jun 8, 2017 #10 Wanarudi Jangwani kuvua samaki
Donpetrol Member Joined Jun 5, 2013 Posts 31 Reaction score 8 Jun 8, 2017 #11 Dah tumekosa mwakilishi
M Manbad JF-Expert Member Joined Apr 10, 2017 Posts 1,185 Reaction score 990 Jun 8, 2017 #12 Yanga imepgwa bila huruma
Clark boots JF-Expert Member Joined Jun 5, 2017 Posts 6,770 Reaction score 6,202 Jun 8, 2017 #13 Donpetrol said: Dah tumekosa mwakilishi Click to expand... Duh.. yanga katolewa..?
M Mbojo JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 1,593 Reaction score 1,309 Jun 8, 2017 #14 Haya ndiyo matokeo ya kuwaamini simba na yanga.
K Konaball JF-Expert Member Joined Mar 11, 2009 Posts 2,949 Reaction score 1,940 Jun 8, 2017 #15 leopard 4 Yanga 2
Clark boots JF-Expert Member Joined Jun 5, 2017 Posts 6,770 Reaction score 6,202 Jun 8, 2017 #16 Duuh... YangaaaaaaaaaaaaH
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 70,791 Reaction score 98,334 Jun 8, 2017 #17 Poleni sana Yanga
Zesh JF-Expert Member Joined Apr 27, 2017 Posts 15,395 Reaction score 25,049 Jun 8, 2017 #18 Tooooobaaaaaaaaa Nimezimia mie
ndemesi JF-Expert Member Joined Jul 28, 2015 Posts 380 Reaction score 121 Jun 8, 2017 #19 Penati hazijawai kumuacha mtu salama
Ghazwat JF-Expert Member Joined Oct 4, 2015 Posts 23,718 Reaction score 66,267 Jun 8, 2017 #20 Poleni Ndala FC.. Chui hana mchezo wa kitoto