M Mbojo JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 1,593 Reaction score 1,309 Jun 8, 2017 #21 Munawapa pole za nini hawa,wachezaji woa wengi wapo wanashindwa kufunga hata goli! Hawa hata pole hawastahili. Matokeo ya mpira kuendeshwa na Malinzi bingwa wa yanga.
Munawapa pole za nini hawa,wachezaji woa wengi wapo wanashindwa kufunga hata goli! Hawa hata pole hawastahili. Matokeo ya mpira kuendeshwa na Malinzi bingwa wa yanga.