El'son JF-Expert Member Joined Jun 3, 2012 Posts 380 Reaction score 324 Apr 20, 2016 #21 Kuna dogo hapa ananiambia Leo ameota ndoto ya kutisha sana " eti yanga ameshinda goli 3 bila huko misri" nimemwambia hayo ndo madhara ya kulala bila kusali ndo maana unaota ndoto za ajabu hivyo.....!!
Kuna dogo hapa ananiambia Leo ameota ndoto ya kutisha sana " eti yanga ameshinda goli 3 bila huko misri" nimemwambia hayo ndo madhara ya kulala bila kusali ndo maana unaota ndoto za ajabu hivyo.....!!