Daniel Mbega
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 338
- 180
Juzi nilimsikia jerry muro anasema kuwa eti dawa yao ni kuwachezesha saa saba ya mchana!!na kwenye uwanja wenye vichuguu sana!!!kweli mpira wa tz bado unasafari ndefu sana huu upuuzi nao ni wa kuongea mbele ya watu tena kwenye chombo cha habari?!!!Acha Kukweza mambo hakuna Vita hapo Wamisri wanapita kirahisi hapo.
Juzi nilimsikia jerry muro anasema kuwa eti dawa yao ni kuwachezesha saa saba ya mchana!!na kwenye uwanja wenye vichuguu sana!!!kweli mpira wa tz bado unasafari ndefu sana huu upuuzi nao ni wa kuongea mbele ya watu tena kwenye chombo cha habari?!!!