Danny greeny
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 3,856
- 1,648
- Thread starter
-
- #41
km wamecheza nyumban mfululizo basi na ugenini watakuja cheza mfululizo hvyohvyo maana idadi ya mechi ni sawa, shida iko wapi mkuu?
Mtani nakutabiria siku hizi mechi zikiwa zinachezwa nitakutafuta.Nimekurupa na kuandika kwa muhemko.
Yanga 2 - 0 Alliance mechi ikichezwa DAR ES SALAAM cc: Khaligraph Jordan na sembo
Magufuli yeye kama nani kwenye Soka?wewe ni MbumbumbuNi nchi gani duniani ishawahi kuwa na ratiba kama hii?? Ndio maana magufuli anaudharau mpira wetu
Kiuhalisia hawa jamaa huwa wanajibu au kutoa mawazo yao kwa emotions zaidi kuliko facts hasa kwenye issue ya mafanikio ya Yanga.
Kwahiyo usitegemee kuwa atakujibu hiyo na ukaridhika. Kwakuwa kila mtu ana uhuru wa mawazo na inabidi tuyaheshim wewe wavumilie tuu ndio watani wetu hatuna jinsi
Nitajie kiwanja kibovu tanzania kama sio unaviskiaga kwenye kideo tuHawa jamaa huwa nawashangaa sana kutoa sababu ya nyumbani kama kigezo cha kushinda.
Mm kwa Tanzania hapa nalia na viwanja tu
Kumbe ndio maana unahoji kucheza kwa Yanga dar, kumbe unawazo haya. Sawa wewe tushajua ni adui yetu unayuombea njaaMtani nakutabiria siku hizi mechi zikiwa zinachezwa nitakutafuta.
Mbao vs yanga mnakufa (hii ni kawaida)
Biashara vs yanga mnakufa
Kagera vs yanga mnakufa
Ndanda vs yanga mnakufa (mna historia mbovu dhidi ya hawa)
Lipuli vs yanga mnakufa
Mtibwa vs yanga mnakufa
Azam vs yanga mnakufa.
Zingine tia maji
Kwa hiyo kama imepanda juzi ndio asicheze na Yanga?Mkuu siwezi kuumia, kinachoniuma mimi ni kwanini alliance katembea mbeya, dar, mara n.k tena ni katim kalichokuja juzi TPL giant kama yanga anapendelewa WHY?? kweli Lesotho watuache haiwezekani AFCON tutaisikia tu
Mkubwa ukiona yanga vs African lyon unaelewa nini?Si mechi zote yanga anakuwa mwenyeji, hesabu team ngapi kwenye ligi zipo dar ndipo uanze kulalamika
Mbao mlisema hivyo alivyowapiga nyinyi kidude sisi tukampiga kidude hata huko kwao atapigwa tuu.Mtani nakutabiria siku hizi mechi zikiwa zinachezwa nitakutafuta.
Mbao vs yanga mnakufa (hii ni kawaida)
Biashara vs yanga mnakufa
Kagera vs yanga mnakufa
Ndanda vs yanga mnakufa (mna historia mbovu dhidi ya hawa)
Lipuli vs yanga mnakufa
Mtibwa vs yanga mnakufa
Azam vs yanga mnakufa.
Zingine tia maji
Aiseee kumbe wewe sio mtu wakawaida, kwahiyo kama naona kwenye video inamaa sio uharisia? Kwahiyo mpira tunao angalia kwenye TV sio uharisia?Nitajie kiwanja kibovu tanzania kama sio unaviskiaga kwenye kideo tu
Matusi na kejeli za nini? Ndo tatizo la ushabiki wa tanzania bila matusi hauendi hujui impact ya magu?Magufuli yeye kama nani kwenye Soka?wewe ni Mbumbumbu
Niambie hizo impact yake kwenye Soka,yeye anamiliki Timu,yeye ni Rais wa TFF au yeye ni Refa au Mchezaji?Matusi na kejeli za nini? Ndo tatizo la ushabiki wa tanzania bila matusi hauendi hujui impact ya magu?
Umenielewa vibaya mkuu jaribu kufikiri kidogo nitajie viwanja ulivyovishuhudia ni vibovu au ni unasikiaga tu waandishi wakisema ni vibovu?Aiseee kumbe wewe sio mtu wakawaida, kwahiyo kama naona kwenye video inamaa sio uharisia? Kwahiyo mpira tunao angalia kwenye TV sio uharisia?
Nikujulishe tu kuwa Tanzania tunaviwanja vingi vibovu
Mwenyekiti wako Rage ndio aliwaita MambumbumbuMatusi na kejeli za nini? Ndo tatizo la ushabiki wa tanzania bila matusi hauendi hujui impact ya magu?
Haya ndio maswali sasa, impact ya rais ni motisha kwa wachezaji kutokutoa ruzuku ama kutoa kuhakikisha pesa wanayo (kupitia watendaji wake kama waziri na wizara nzima ya michezoNiambie hizo impact yake kwenye Soka,yeye anamiliki Timu,yeye ni Rais wa TFF au yeye ni Refa au Mchezaji?
Sasa waandishi wanasema wapi mkuu? Sawa mkuu viwanja vyote hapa Bongo ni vzuri kama vya UlayaUmenielewa vibaya mkuu jaribu kufikiri kidogo nitajie viwanja ulivyovishuhudia ni vibovu au ni unasikiaga tu waandishi wakisema ni vibovu?
Hakuna tusi hapo rejea hapa chiniMatusi na kejeli za nini? Ndo tatizo la ushabiki wa tanzania bila matusi hauendi hujui impact ya magu?
Mmenizidi nguvu nyinyi vyuta mmekuwa wengi mtani CC:sembo inabidi aje asaidieHakuna tusi hapo rejea hapa chini