Yanga vs Alliance Fc

Sijawahi kuona ratiba mbovu kama hii ya Tanzania... yani timu inacheza mechi 7 sijui 8 mfufulizo kwenye uwanja wa nyumbani! Hii ni aibu sana kwa Tanzania nzima na kwa kila mpenzi wa soka hapa nchini...
Bado mechi ngapi muanze kwenda mikoani?
Ataenda ugenini ,round ya Pili hakuna tatizo
 
Duh kumbe kusajili kimya2 kunafaida
Swali usajili wa
Ajibu =?
Nioyonzima =?
 
Siku ile simba walitubania tuliondoka na point moja hakuna baya walipunguzwa na mdomo mitaani. Saizi wameanza lingine la kucheza nyumbani mfurulizo hata akianza kwenda ugenini moto utakuwa palepale,
 
Sijawahi kuona ratiba mbovu kama hii ya Tanzania... yani timu inacheza mechi 7 sijui 8 mfufulizo kwenye uwanja wa nyumbani! Hii ni aibu sana kwa Tanzania nzima na kwa kila mpenzi wa soka hapa nchini...
Ulichosema mkuu ni ukweli usiopingika hata hivyo aliyefanya hayo si Yanga bali ni uongozi wa TFF ambao ni Simba pure kuanzia Rais mpaka Msemaji wake. Walifanya hivyo kwa ajili ya kuibeba Simba ili imalize mapema michezo ya nje ya Kituo chake kwa kushinda then baadae imalizie kiulaini mechi za Dar. Hasa kwa kuwa iliaminiwa kuwa Yanga kwa kipindi hiki ni wabovu hivyo wangefungwa Dar na mikoani. Hata hivyo, Mungu si Mwakalobo wameumbuka.
 
Vipi kikosi kipana hakipo tena? Mbona mnalialia sana?
 
Sijawahi kuona ratiba mbovu kama hii ya Tanzania... yani timu inacheza mechi 7 sijui 8 mfufulizo kwenye uwanja wa nyumbani! Hii ni aibu sana kwa Tanzania nzima na kwa kila mpenzi wa soka hapa nchini...
Rejea msimu wa ligi uliopita........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…