Danny greeny
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 3,856
- 1,648
- Thread starter
- #41
km wamecheza nyumban mfululizo basi na ugenini watakuja cheza mfululizo hvyohvyo maana idadi ya mechi ni sawa, shida iko wapi mkuu?
Kiuhalisia hawa jamaa huwa wanajibu au kutoa mawazo yao kwa emotions zaidi kuliko facts hasa kwenye issue ya mafanikio ya Yanga.
Kwahiyo usitegemee kuwa atakujibu hiyo na ukaridhika. Kwakuwa kila mtu ana uhuru wa mawazo na inabidi tuyaheshim wewe wavumilie tuu ndio watani wetu hatuna jinsi