Yanga vs Azam,Hakuna mbabe!Mpira Wa Nyumbani imebaki ushabiki tu

Shikamoo Mkuu 1954.. Nimekuelewa vyema sana.. Ila hivi ni nani aliwaza au hata kufikiri kua yule Samata wa Africa Lyon leo atakua ubeligiji??
Kwa hili la kichuya tumpe mda na si kumhukumu mapema kua hatafika popote.

sembo...tatizo langu siyo Kichuya, ila ni wale waliomzunguka..yaani 'manazi', mashabiki, magazeti (vyombo vya habari), viongozi...nimekwambia Samatta na Ulimwengu wana bahati kwani waliondolewa mapema....nielewe hivyo... wewe fikiria gazeti linaandika 'Kichuya hakamatiki' sijui 'kichuya atoa onyo' sijui 'Simba hadi raha' sijui 'Chirwa asema atapiga bao kila mechi'...mengi yanayosemwa magazetini kuhusu wachezaji wachezaji wenyewe hawajasema bali magazeti au waandishi wametunga tu ili kuuza magazeti....Sasa mambo haya hayawasaidii wachezaji kama kichuya, Chirwa na kadhalika...Hivi wewe fikiria kwa misifa kama hiyo mabeki wa timu pinzani watamfanya nini kichuya?? Na kwa upande mwingine Kichuya huyo ataweza kweli kuhimili misifa hiyo au ataweza kukataa 'ofa' kutoka kwa 'manazi' ambao wanataka kujitambulisha tu kuwa 'leo nilikuwa na Kichuya'???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…