Yanga Vs Azam

Radio Producer

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2011
Posts
726
Reaction score
320
[h=6]Yanga 0 ~ 1 Azam
Baada ya Niyonzima kutolewa kwa kadi ya pili ya njano iliyozaa red card Wachezaji wa YANGA wamemvamia Refa na kumtwisha MINGUMI ya kutosha waliompiga refa ni pamoja na Canavaro akisaidiwa na Kijiko, Nurdin na Tegete ambaye alikuwa bench, na baada ya hapo Canavaro naye katolewa kwa kadi Nyekundu, mpaka sasa Yanga wapo pungufu uwanjani wakiwa 9[/h]
 
Mimi ni Yanga, lakini kama wamempiga mwamuzi, hata tukifungwa kumi sawa tu! Nidhamu uwanjani ni mhimu, hiyo mibangi waipeleke huko!!
 
wachezaji wa tanzania nidhamu itawagharimu popote pale watakapo kwenda,kosa la kupiga mwamuzi....
 
matokeo ya mwisho imekuwaje kwa watani zetu Makandambili!! wamepigwa ngapi?? halafu nyie Yanga mmejifunzia wapi mpira badala ya kupiga mpira mnarushia ngumi mwamuzi!!?
 
matokeo ya mwisho imekuwaje kwa watani zetu Makandambili!! wamepigwa ngapi?? halafu nyie Yanga mmejifunzia wapi mpira badala ya kupiga mpira mnarushia ngumi mwamuzi!!?

Mwamuzi hana adabu. Amepewa fedha na simba hana lolote. Hata hivyo tutafanya kama kawaida yetu, tutachukua ubingwa mwishoni.

Simba ni dereva wa porini, tutampokea usukani akifika TAZARA, tutaingiza lori bandarini na kudaka mshiko. Si mnajua anayeingiza chombo yard ndio anasaini? Endeleeni na marefa wenu, sisi yetu tutafanya wenyewe. Salamu bongo
 
mi ni yanga damu....lakini ujinga wa kupiga marefa haukubaliki popote duniani.wachezeji kupiga refa ni
kuficha mapungufu ya ndani wapuuzi sana hawa...
 
tupeni matokeo kamili, wenzenu tulikua arumeru. hapa ndo umuhimu wa crushwise unakuwepo.
 
Kupiga Marefa Mambo ya Kizamani sana haya. Yaani Tanga bado wanaendekeza Mambo ya Ligi za Keko Juu (KJ)?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…