Yanga vs Gormahia at Sheikh Amri Abeid stadium

Yanga vs Gormahia at Sheikh Amri Abeid stadium

Hii ni mechi ya kirafiki ya kujipima nguvu.Wakuu mlioko uwanjani tupeane updates!
 
Idi mbaga anatoka anaingia davis mmwape
 
Ni mechi ya kujipima nguvu,kabla ya mashindano ya Kagame kuanza.

asante mkuu sikuwa na taarifa, matokeo vipi? nasikia timu ya ndala imesajili sana, naomba wasikimbie kwenye mashindano ya Kagame wakikutana na Mnyama kama walivyofanya mwaka ule.
 
wewe unafikiri yebo yebo watashinda?

Mkuu.... naona hasira za bakora kutoka kwa wakongomani na wa-morocco hazijapoa!!

Toeni yale maha-RAGE ya gamba party kwanza ndiyo mtaona mwezi tena!!
 
Mpira ni dk ya 65. Bado ni bila bila. Mpira ni mkali kwelikweli
 
Ametolewa Idd Mbaga, na Godfrey Bon wakaingia Davis Mwape na Kenneth Asamoh
 
Asamoah super sub anaipatia yanga goli la kwanza!
 
Back
Top Bottom