Yanga vs Mbeya City ni mechi bora kuwahi kushudiwa ligue ya NBC

Mtani iyo picha ya kusindikiza uzi ni yanini hapo,kama sio uchokozi ni kitu gani?
Kuna kitabu fulani kinaitwa""" HAWAFU MWENYE NGUVU""" so nmeona kisindikize thread
 
Amini usiamini ile mechi ya jana imechezwa ba makolo. Haiwezekani move zote za magoli ya wazi zinnauliwa, huku wao wakishangilia kupewa penalt ya mchongo baadae kujitokeza na kuikejeli yanga et ni mbovu.
 
Kuna wana msimbaz damu....hapa mtaani ....huwa hawashangilii ushind was Simba....coz wanajua kinachotokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…