Yanga vs Ngaya live updates

Ngaya = Yanga otherwise specified
 
Kumbe wasemavyo mashabiki wa mpira nchini kuwa mashabiki wa Yanga ni Misukule tu, ni kweli.
Inategemea wanaosema ni watu wa aina gani. Huenda ikawa anayemuita mwenzake yeye ndio akawa msukule
 
Kilichonifurahisha ni majina ya team zote mbili.kushinda nilijua ni lazima tena kwa goli nyingi sababu ni kawaida yetu kwa wacommoro
 
Bus Conductors Kasifiwa baada ya kupondwa Bungeni
 
Ndiyo maana nimesema mashabiki wa yanga ni sawa na Misukule....kwani toka wewe uzaliwe mpaka hapa ulipofika Yanga imefanya nini cha maana kimataifa Zaidi ya wao kuwa wasindikizaji? Nasubiri jibu lako.

Kwa hiyo we kushughulikiwa Na Liboro ndio mafanikio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…