Mkuu hayo maneno yako yanatoka kinywani mwako au kwenye kijambio ?, niambie mara ya mwisho Mikia fc ilishiriki lini mashindano ya vilabu vya Africa na matokeo yalikuwaje mbwea ninyiNdiyo maana nimesema mashabiki wa yanga ni sawa na Misukule....kwani toka wewe uzaliwe mpaka hapa ulipofika Yanga imefanya nini cha maana kimataifa Zaidi ya wao kuwa wasindikizaji? Nasubiri jibu lako.
Inategemea wanaosema ni watu wa aina gani. Huenda ikawa anayemuita mwenzake yeye ndio akawa msukule
Pumba!!!
Sijabisha ila kama hujanielewa vile nimesema penye kushangilia wacha tushangilie huo ubingwa wewe uliyeuzowea kashiriki uchukue hilo kombe.Toka uzaliwe mpaka hapa ulipofika Yanga imefanya nini kimataifa Zaidi ya kusindikiza timu zingine na kufanywa jamvi la wageni? Usibishe kwani kumbukumbu zipo.
Msukule namba 1 duniani ni wewe. Unatia kinyaa na huruma!!
Ingekua ni wewe mbumbumbu ungefikisha hata goal 2Nakupa kinyaa kukuambia ukweli mkuu? basi una shida na hauna mapenzi na Yanga kweli, maana ungekuwa na mapenzi ya kweli kwa Yanga usingeshangaa kwa nini nimewaita nyie misukule kushangilia ushindi dhidi ya timu kibonde. pale ilibidi muwachape wale 11 - 0 au Zaidi.
Kwa hiyo we kushughulikiwa Na Liboro ndio mafanikio?
Hahahaha! La mkosaji mkuu!Jecha kafanya yakwe
Bora hata anayesindikiza maana anajifunza namna ya kusafiri, je hao wasio sindikiza hawatamu huko kusindikiza?Toka uzaliwe mpaka hapa ulipofika Yanga imefanya nini kimataifa Zaidi ya kusindikiza timu zingine na kufanywa jamvi la wageni? Usibishe kwani kumbukumbu zipo.
Simba yenu hata ubavu wakufika huko haina mtaishia kupiga mayowe lkn yanga na Serengeti boyo pekee ndiyo wa wakilishi wa Tanzania kwenye michuano ya kimataifa.Pumba? Waulize watanzania wanaoishi huko kama kweli kuna mpira kule. Hii ilikuwa ni sawa tu kwa Yanga kucheza na vibonde in the preliminary round kwani siku zote vibonde upangwa pamoja ili watoane kabla ya mechi zenyewe na sote twajuwa Yanga ikifika huko wao ni kulizwa tu....!
Mkuu hayo maneno yako yanatoka kinywani mwako au kwenye kijambio ?, niambie mara ya mwisho Mikia fc ilishiriki lini mashindano ya vilabu vya Africa na matokeo yalikuwaje mbwea ninyi
Sijabisha ila kama hujanielewa vile nimesema penye kushangilia wacha tushangilie huo ubingwa wewe uliyeuzowea kashiriki uchukue hilo kombe.
Hilo jamvi la wageni unalijua wewe.
Simba yenu hata ubavu wakufika huko haina mtaishia kupiga mayowe lkn yanga na Serengeti boyo pekee ndiyo wa wakilishi wa Tanzania kwenye michuano ya kimataifa.
Bora hata anayesindikiza maana anajifunza namna ya kusafiri, je hao wasio sindikiza hawatamu huko kusindikiza?
Ingekua ni wewe mbumbumbu ungefikisha hata goal 2
Mpuuzi wewe unayesifia timu inayochezea matopeni kila mwakaBado ni mtoto na hauna takwimu zozote.....ungekuwa na akili timamu wala usinge andika upuuzi huu. Endelea kubwia unga tu.
Vipi mlichukua hilo kombe?Fainali CAF 1993 ambao Yanga mpaka sasa toka tupate uhuru haijawahi kufikia hiyo hatua. Kila mwaka wao ni jamvi la wageni tu na cha kushangaza timu zinaomba/kugombania kukutana na Yanga katika hatua ya mtoano.
Haya maneno mkifungwa hatuyaoniTungewapiga 12 au Zaidi ili washindwe kuja Tanzania kwa mechi ya marudiano.
Si unaona, Msukule mwingine huoooooo. Msukule hawezi kutoa hoja kwani hana data ila anafuata tu amri.