Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
unaamanisha tumekoswa koswa?Aisee tumepona
Leo Mimi Ni Mnyaruanda Halisi na Nitaiunga Mkono Timu Yangu Ya Nyumbani RAYON Kwa 100% ili Kumuangamiza NJAA KALI FC a.k.a wazee Wa Ukata
Sema tulia tumwone shangazi akijitahidi kulilia huruma ya bwanaAcha umbea, tulia uone mwanaume akiwajibika kuwakilisha taifa wewe ulishia njiani mbumbumbu mkubwa.
When all answers seem to be correct and you need to choose one [emoji637]Na dada zetu wamesema watatuunga mkono kwenye kuishangilia timu yetu RAYON FC
View attachment 779404
WanajilipaNauliza hivi Mkwasa na waajiliwa wengine pale Yanga wanalipwa au wanajitolea tu
Hivi Niulize! Tokea LuandaAmina aikimbie [HASHTAG]#Yanga[/HASHTAG] Je imeshawahi Kushinda Japo Mchezo mmoja?