Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Mkuu kwa upande wa simba mtoe zamoyoni mogella. Hakucheza na wachezaji hao. Yeye alicheza na:-
1. Iddi pazi
2. Kiwelo musa
3. Daudi salum
4. Athumani maulidi
5. Lila shomari
6. Mtemi ramadhani
7. Nimemsahau
8. Ramadhani leny/ ezeckieli grayson jujuma
9 zubei magoa/abdallah mwinyimkuu
10 zamoyoni mogela
11. Sunday juma
UNAZUNGUMZIA MIAKA YA 1980'S
Mkuu kwa upande wa simba mtoe zamoyoni mogella. Hakucheza na wachezaji hao. Yeye alicheza na:-
1. Iddi pazi
2. Kiwelo musa
3. Daudi salum
4. Athumani maulidi
5. Lila shomari
6. Mtemi ramadhani
7. Nimemsahau
8. Ramadhani leny/ ezeckieli grayson jujuma
9 zubei magoa/abdallah mwinyimkuu
10 zamoyoni mogela
11. Sunday juma
UNAZUNGUMZIA MIAKA YA 1980'S
Zamoyoni Mogella amecheza Simba msimu wa 1990 na 1991. Masatu, Mwameja na Hussein Marsha walikuwa bado hawajaingia Simba lakini Twaha Hamidu, Edo Chumila, Malota Soma walikuwepo Simba.
Michael Kidilu,Peter Mwakibibi,Kaunda Mwakitope,Mtekere (RIP) Danford Ngesi,Lumumba,Steven Musa (RIP?) some Tukuyu stars chaps
Hapana amekosea....hiyo ni awamu ya pili ya Zamoyoni Mogella. Alianza miaka ya 1980. Nikukumbushe kidogo unajua jina la Golden boy alilopewa na Ahmed Jongo mtangazaji alilitoa mwaka gani? Ilikuwa 1980 Kati ya taifa start na timu ya taifa ya Malawi. Mogela alisawazisha goli na kuwa 2-2 Dak ya 89 alikuwa yupo simbauko sahihi mkuu...
Ongezea Godwin Aswile, Mbwana Makata, Aston Pardon, Jimmy Morreid ......