Yanga Vs Simba weka ubashiri wako hapo (Correct score)

Mimi ni mnazi wa Simba lakini nimeota jana Mechi itaisha kwa droo ya 1-1

Simba wataanza kufunga alafu Yanga watasawazisha. Mwishoni Simba watapata penalty ambayo bahati mbaya wataipoteza.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi ndivyo tulivyoambiwa na kamati ya ufundi. Mpira wameshaangalia watu. Shoot la chini chini ndo linamaliza ubishan wa mechi hii.
 
Pamoja na mwinyi zahera kwenda kongo kuonana na waganga mbalimbali hajaweza zuia kipigo ambacho yanga watakipata leo.

Na hili jambo limesababisha apaniki sana na kutafuta mtu wa kumwangushia jumba bovu. Kongo wamemwambia ni ngumu sana kumwepusha na kipigo hiki.
 
Hivi ndivyo tulivyoambiwa na kamati ya ufundi. Mpira wameshaangalia watu. Shoot la chini chini ndo linamaliza ubishan wa mechi hii.
Hivi viroba si vimepigwa ban wakuu mbona kuna watu kama bado wana access na hivi vitu?
Kuipa yanga ushindi lazima unakunywa viroba.
 
SIMBA: 2 YANGA: 1 (SIMBA: 1 YANGA: 0)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…