Tumbo Tumbo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 1,278
- 1,553
Yaaani TFF ni makukaji ,ni mamamba yaliyokaa kinywa wazi kungoja tumbo kujaa hewa.Ishu ya Mapato ya Simba na Yanga
Hii hapa
Mgawanyo wa mapato
VAT 52,295,338.98
Selcom 15,170,006.25
TFF 13,767,982.74
Uwanja 41,303,948.22
Young Africans 165,215,792.86
Gharama za mchezo 19,275,175.83
TPLB 24,782,368.93
BMT 2,753,596.55
DRFA 8,260,789.64
Mchezo namba 270 wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara uliozikutanisha Young Africans na Simba uliochezwa Jumamosi Februari 16,2019 kwenye Uwanja wa Taifa umeingiza jumla ya shilingi Milioni 342,825,000
Mchezo huo uliingiza jumla ya watazamaji 41,266
Sent using Jamii Forums mobile app
simba haipati?Jumla ya watazamaji walikuwa ni 41,266, Jumla ya mapato; 342,825,000
Mgawanayo wake:
Kodi (VAT): 52,295,338
SELCOM: 15,170,000
TFF: 13,767,982
Uwanja (kwa mchina): 41,339,480
Young Africa: 165,215,792
Gharama za michezo : 19,275,175
Bodi ya ligi: 24,782,368
Baraza la michezo: 2,753,596
DRFA: 8,260,789
Jumla ya watazamaji walikuwa ni 41,266, Jumla ya mapato; 342,825,000
Mgawanayo wake:
Kodi (VAT): 52,295,338
SELCOM: 15,170,000
TFF: 13,767,982
Uwanja (kwa mchina): 41,339,480
Young Africa: 165,215,792
Gharama za michezo : 19,275,175
Bodi ya ligi: 24,782,368
Baraza la michezo: 2,753,596
DRFA: 8,260,789
kodi ya serikali mil 52, ndiyo huitwa VATvip kuhusu kodi ya jpm sijaona hapo
si ni matajiri wasipate harafu walikuwa wageni
asante kwa ufafanuziMapato ni ya timu mwenyeji, mgeni hapati chochote
value added taxkodi ya serikali mil 52, ndiyo huitwa VAT
Siku hizi kuna uwazi wa mapato, zile figisu figusi za zamani TFF hazipoJumla ya watazamaji walikuwa ni 41,266, Jumla ya mapato; 342,825,000
Mgawanayo wake:
Kodi (VAT): 52,295,338
SELCOM: 15,170,000
TFF: 13,767,982
Uwanja (kwa mchina): 41,339,480
Young Africa: 165,215,792
Gharama za michezo : 19,275,175
Bodi ya ligi: 24,782,368
Baraza la michezo: 2,753,596
DRFA: 8,260,789
Hata wakitumia viwanja vyao makato yako pale paleSuluhisho hapa ni Vilabu kuwa na Viwanja vyao, vinginevyo kina Wallace hawa wamekaa Ki CCM CCM ni ufisadi tu unaendelea pale TFF.