Yanga Vs Simba zaingiza zaidi ya Millioni 300,Mgawanyo wa mapato huu hapa:

Inamana uwanjani kulikuwa na mashabiki wa mikia tu?
Hakika nyie ni mambūmbumbu
 
Niliwahi kutoa uzi huu kuwaonya yanga ni mashabiki wa midomo tu yani yapo yapo tu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: Tui
345825000. WAMEGAIANAA HIVYO

YAMGA JANA TUMWETENGENEZA 545000000

WATAGAWANA SH NGAPI ..KHA
 
Situliambiwa ticket sold out means uwanja ulijaa watu 60,000? Au sikuelewa
 
Hao selcom wanapataje hela yote hiyo?
 
Wizi mtupu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…