YANGA WAAMUA KUGOMA

tunahamia dodoma

Senior Member
Joined
Jan 23, 2017
Posts
119
Reaction score
81
Timu ya Yanga sc wameanzisha mgomo wa kutoshinda hadi Serikali itakopofuta kesi inayomkabili kiongozi wao mkuu bwana Yusufu manji ya utumiaji wa mapoudaaaaa.

Hi kwa mujibu wa msemaji mkuu wa timu hiyo ambae amwasisiza kuwa kikomo cha mgomo huo ni pale tu Serikali itakapofuta kesi dhidi ya kiongozi wao huyo.

Na kwa kauli moja amesema wanaungana na mwana mitindo wema sepeti ili kuikomoa serikali na chama tawala hadi hapo serimali itaposikiliza kilio chao.
 
Wakibadili rangi ya zile fulana wanazovaa kama jezi ndio nitawaelewa kidogo.
 
"Amewasisiza" "sepeti" "serimali"[emoji1]
 
Kwani yanga wote ni ccm?
 
Ndio maana viroba vimezuiwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…