Yanga wafanye nini ili wapate ubingwa msimu ujao

marcoveratti

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2017
Posts
1,019
Reaction score
1,824
Msimu wa 2020-2021 umeshapata bingwa ambae ni Simba sc ,na hii ni mara ya 4 mfululizo simba sc anakua bingwa wa ligi kuu Tanzania bara.

Licha ya kua mabingwa mara 4 Simba hawaomeshi dalili za kupungua makali kwenye kutetea ubingwa msimu ujao

Kama mdau wa soka na micheza Tanzania unadhani Yanga wanahitaji kufanya nini ili kutamatisha ama kivunja huu mfululizo wa Simba kua mabingwa mfululizo na kombe walichukue wao?

255755092277_status_6a5f52fe89024dd7b46c7a1924bd034d.jpg
 
Nasema hivi, mechi ya mwisho ikiwa Inaisha mnavuliwa ubingwa Kwa kosa la kuchezesha mchezaji asiye halali. Na ubingwa unaenda maskani ya Yanga. It's not over until it's over
 
Na wewe unaamini hilo? Yanga kafungua kesi dhidi ya Morrison sio Simba! Na kabla ya kumchezesha shirikisho linalosimamia mpira lilimuidhinisha so it’s automatic Simba hana kosa! Kama kesi kweli ipo Morrison ataishia kuilipa Yanga fidia kwa kuvunja mkataba that’s all endeleeni kudanganyana
 
Let's wait and see
 
Back
Top Bottom