marcoveratti
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 1,019
- 1,824
ππππππ ππππ πππππ ππππ π¨ππ₯ππ₯π ππ πYanga imepitia kipindi kigumu sana,hii ni kutokana na hujuma za nje na ndani ya uwanja.Hali hii ilipelekea YANGA kutishia kugomea ligi,nakiri kwamba T.F.F. iliwatoa mchezoni.
Nasema hivi, mechi ya mwisho ikiwa Inaisha mnavuliwa ubingwa Kwa kosa la kuchezesha mchezaji asiye halali. Na ubingwa unaenda maskani ya Yanga. It's not over until it's over
Let's wait and seeNa wewe unaamini hilo? Yanga kafungua kesi dhidi ya Morrison sio Simba! Na kabla ya kumchezesha shirikisho linalosimamia mpira lilimuidhinisha so itβs automatic Simba hana kosa! Kama kesi kweli ipo Morrison ataishia kuilipa Yanga fidia kwa kuvunja mkataba thatβs all endeleeni kudanganyana
Let's wait and see