OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
hujuma wapi mpira unachezwa hadharani,timu lenu halina hata hadhi ya kucheza ndondoYanga imepitia kipindi kigumu sana,hii ni kutokana na hujuma za nje na ndani ya uwanja.Hali hii ilipelekea YANGA kutishia kugomea ligi,nakiri kwamba T.F.F. iliwatoa mchezoni.
Waachane na Mze Mpili, pia waachane kabisa na masuala ya uchawi maana wamezidi jamani. Umeona wapi timu yote inadhaminiwa uchawi na serikali ya CCM, viongozi wa CCM wanaitafutia timu wachawi.....si ujinga huu?Msimu wa 2020-2021 umeshapata bingwa ambae ni Simba sc ,na hii ni mara ya 4 mfululizo simba sc anakua bingwa wa ligi kuu Tanzania bara.
Licha ya kua mabingwa mara 4 Simba hawaomeshi dalili za kupungua makali kwenye kutetea ubingwa msimu ujao
Kama mdau wa soka na micheza Tanzania unadhani Yanga wanahitaji kufanya nini ili kutamatisha ama kivunja huu mfululizo wa Simba kua mabingwa mfululizo na kombe walichukue wao?
View attachment 1851018
Msimu wa 2020-2021 umeshapata bingwa ambae ni Simba sc ,na hii ni mara ya 4 mfululizo simba sc anakua bingwa wa ligi kuu Tanzania bara.
Licha ya kua mabingwa mara 4 Simba hawaomeshi dalili za kupungua makali kwenye kutetea ubingwa msimu ujao
Kama mdau wa soka na micheza Tanzania unadhani Yanga wanahitaji kufanya nini ili kutamatisha ama kivunja huu mfululizo wa Simba kua mabingwa mfululizo na kombe walichukue wao?
View attachment 1851018
Waache tu kuwa Wapumbavu na Wanga.Msimu wa 2020-2021 umeshapata bingwa ambae ni Simba sc ,na hii ni mara ya 4 mfululizo simba sc anakua bingwa wa ligi kuu Tanzania bara.
Licha ya kua mabingwa mara 4 Simba hawaomeshi dalili za kupungua makali kwenye kutetea ubingwa msimu ujao
Kama mdau wa soka na micheza Tanzania unadhani Yanga wanahitaji kufanya nini ili kutamatisha ama kivunja huu mfululizo wa Simba kua mabingwa mfululizo na kombe walichukue wao?
View attachment 1851018
KwendraaaYanga imepitia kipindi kigumu sana,hii ni kutokana na hujuma za nje na ndani ya uwanja.Hali hii ilipelekea YANGA kutishia kugomea ligi,nakiri kwamba T.F.F. iliwatoa mchezoni.
Wewe huu utani hebu wapishe wahusika kwanza mkuu...mafikiri ungesema team zingine zifanye nn kuwa challange Simba kwenyw Ubingwa.. basi walau ungewaweka na Azam..
kwa nn mnafanya kama vile mpira wa Bongo hati miliki wanazo yanga na simba.. ili ligi yetu iendelee lazima wengine wanyanyuliwe kiasi... vizaz hivi vichanga vinatakiwe vijue kuna zaid ya Simba na Yanga
vinginevyo malalamiko ya kupendelewa kwa hivi vilabu hayataisha... maana kila mtu automaticaly anahis kuwa kama haupo simba basi upo Yanga
ndo maana maamuzi Mengi ya Soka humu yakitolewa yanatolewankw akubalance Simba na Yanga..
watu wanasema marefa wabovu sababu ya mechi wanazocheza Simba au Yanga.. ila hakuna team wanataabika na marefa kama team za chini
Japo sina uhakika kama kesi ipo, ila kama ipo na Yanga atashinda Simba hakwepi hio adhabu maana alitakiwa kujiridhisha kama kweli mchezaji hana mkataba ndio amsajiliNa wewe unaamini hilo? Yanga kafungua kesi dhidi ya Morrison sio Simba! Na kabla ya kumchezesha shirikisho linalosimamia mpira lilimuidhinisha so it’s automatic Simba hana kosa! Kama kesi kweli ipo Morrison ataishia kuilipa Yanga fidia kwa kuvunja mkataba that’s all endeleeni kudanganyana
Waachane kudili na watu dizaini ya Mze Mpili na Mshana JrMsimu wa 2020-2021 umeshapata bingwa ambae ni Simba sc ,na hii ni mara ya 4 mfululizo simba sc anakua bingwa wa ligi kuu Tanzania bara.
Licha ya kua mabingwa mara 4 Simba hawaomeshi dalili za kupungua makali kwenye kutetea ubingwa msimu ujao
Kama mdau wa soka na micheza Tanzania unadhani Yanga wanahitaji kufanya nini ili kutamatisha ama kivunja huu mfululizo wa Simba kua mabingwa mfululizo na kombe walichukue wao?
View attachment 1851018
🤣😂 Kwamba TFF ilimtoa mchezoni Sarpong! 😂Yanga imepitia kipindi kigumu sana,hii ni kutokana na hujuma za nje na ndani ya uwanja.Hali hii ilipelekea YANGA kutishia kugomea ligi,nakiri kwamba T.F.F. iliwatoa mchezoni.
Wewe huu utani hebu wapishe wahusika kwanza mkuu...
Karibu siku nyingine kuleta ajenda yako! Sawa mkuu?
Hahahaaa,,, Tatizo Yanga wanajifanya wajuajisasa mkuu utan gani tena hapo.. hatukatai 10 yrs back to back lakin kila msiba una waombolezaji.. sasa kwenye mada katajwa Yanga tu kama
victim pekee wakat wengine wapo sio FEA... wamesama wengi kwa nn aonekane Yanga tu ndo kazama[emoji3]
sijui hawa jamaa huwa wanatumia nini kufikiria,🤣😂 Kwamba TFF ilimtoa mchezoni Sarpong! 😂
yanga kulipata kombe labda waliibe na kutoka nalo ndukiiiiiiiiiiiMsimu wa 2020-2021 umeshapata bingwa ambae ni Simba sc ,na hii ni mara ya 4 mfululizo simba sc anakua bingwa wa ligi kuu Tanzania bara.
Licha ya kua mabingwa mara 4 Simba hawaomeshi dalili za kupungua makali kwenye kutetea ubingwa msimu ujao
Kama mdau wa soka na micheza Tanzania unadhani Yanga wanahitaji kufanya nini ili kutamatisha ama kivunja huu mfululizo wa Simba kua mabingwa mfululizo na kombe walichukue wao?
View attachment 1851018
Haahahah hizi Hasira za tarehe 3, jiandae tarehe 25 unagongwa tena.hujuma wapi mpira unachezwa hadharani,timu lenu halina hata hadhi ya kucheza ndondo