Yanga wafoji tena

Yanga wafoji tena

DullyJr

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
13,983
Reaction score
11,857
Leo hii wamefoji barua inayosomeka kuwa imeandikwa na mchezaji wa Azam FC Abubakar Salum 'sureboy' na kuiwasilisha katika uongozi wa Azam FC, ambapo lengo la barua hiyo ni kuishawishi uongozi wa Azam FC umwache mchezaji huyo, lakini uongozi wa Azam ulipomuuliza mchezaji wao Sureboy ameikana barua hiyo kuwa haitambui,

Cha kushangaza barua hiyo imeandikwa tarehe ya kesho yaani 12/8/2020 na kupelekwa leo katika ofisi za Azam, wakati leo ni tarehe 12[emoji23], huku barua hiyo ikiwa imepelekwa ofisini hapo na kiongozi wa Yanga SC[emoji23]

Uongozi wa Azam kupitia Afisa habari wao umeomba uongozi wa Yanga ujitokeze hadharani na kuomba radhi, kinyume na hivyo watawafungulia kesi TFF ya kujaribu kumrubuni mchezaji wao ambaye ana mkataba halali na klabu wa mwaka 1 bila kuwashirikisha wao kama uongozi wa Klabu.

NB: ukishazoea kula nyama ya mtu, huwezi acha[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]

Source: kipindi cha michezo U LIVE.
View attachment 1534302
 
Tatizo azam naye ameshajiingiza kwenye siasa za Yanga na Simba. Sikuona sababu ya azam kumzuia sure boy kutafuta changamoto sehemu nyingine.
 
Azam mwanzoni hawakua na shida Ila kwakua ni tawi la mbumbumbu fc na mbumbumbu wanaogopa Yanga itaimarika kwa kumpata uyo mchezaji ndio maana kilasiku unawaona Azam wanabadilisha mahitaji juu ya usajiili wa Salum Abubakar.

Kilichopo Yanga ata waende na bilioni hawata uziwa uyo mchezaji. Labda Simba wangemwitaji wangepewa buure. Kwasasa Azam haina tofauti na timu za mtaani.
 
Azam mwanzoni hawakua na shida Ila kwakua ni tawi la mbumbumbu fc na mbumbumbu wanaogopa Yanga itaimarika kwa kumpata uyo mchezaji ndio maana kilasiku unawaona Azam wanabadilisha mahitaji juu ya usajiili wa Salum Abubakar. Kilichopo Yanga ata waende na bilioni hawata uziwa uyo mchezaji. Labda Simba wangemwitaji wangepewa buure. Kwasasa Azam haina tofauti na timu za mtaani.
Azamu fc si walisema mpeleke 70M, afu mnasema wanawakatalia.

Mlitaka wawape bure?

Sasa kwa nini mnataka kumchonganisha dogo na klabu yake kama hamna hela?
 
Tatizo azam naye ameshajiingiza kwenye siasa za Yanga na Simba. Sikuona sababu ya azam kumzuia sure boy kutafuta changamoto sehemu nyingine.
Wanataka 70m nyine mmepeleka 20m so hapo wamezuia kipi?
 
Huyo msemaji sijui wa timu gani ametumwa na mikia...ni mikakati ya kijinga iliyoandaliwa kuichafua Yanga..huyo ni mhuni tu...amtaje huyo kiongozi wa Yanga.

klabu ya Yanga inawajua wataalamu wa kufoji. Mmeanzisha Vita msioiweza subirini Moto wake...tunawaambia mtaingia uvunguni mwa meza na vitanda..lazima muombe po.
 
Azam haijakataa sure boy kwenda yanga, kumbuka mpira ni biashara yanga haijafika bei
 
Huyo sijui msemaji wa timu gani ni hovyo kabisa, nadhani hata elimu ya darasani Hana Hana hajui hata timing ya kuleta Jambo..hajui kufikiri na Hana uwezo wa kupambanua Mambo.

Jambo zito linalogusa hisia za watu kwa mamilioni lipo mezani halijapatiwa ufumbuzi halafu yeye kwa unoko wake analeta Jambo linalofanana na Hilo...werevu wanajua tu ametumwa na anatumiwa.
 
Leo hii wamefoji barua inayosomeka kuwa imeandikwa na mchezaji wa Azam FC Abubakar Salum 'sureboy' na kuiwasilisha katika uongozi wa Azam FC, ambapo lengo la barua hiyo ni kuishawishi uongozi wa Azam FC umwache mchezaji huyo, lakini uongozi wa Azam ulipomuuliza mchezaji wao Sureboy ameikana barua hiyo kuwa haitambui...
Usimjibu mp...SAWA na upum...usijefanana nae
Ila hapaa wacha tufanane

1) nimesikia akihojiwa amesema MTU na sio KIONGOZI wa Yanga
1@
MTU alieleta barua ya kuonyesha interest NDIO huyohuyo ameleta Leo barua hio...
Hapo kutaja KIONGOZI n utovu wa nidhamu rekebisha kauli yako tuendelea kujadili
 
Usimjibu mp...SAWA na upum...usijefanana nae
Ila hapaa wacha tufanane

1) nimesikia akihojiwa amesema MTU na sio KIONGOZI wa Yanga
1@
MTU alieleta barua ya kuonyesha interest NDIO huyohuyo ameleta Leo barua hio...
Hapo kutaja KIONGOZI n utovu wa nidhamu rekebisha kauli yako tuendelea kujadili
Na hapa nathibitisha Utopolo wako,

Aliyepeleka barua ya kuonesha interest na mchezaji ni nani? Kuna siri? Ni yanga pekee ndio walioonesha kumtaka huyo mchezaji,
Na msemaji wa Azam ametaja kabisa ni mtu wa Yanga, sasa wewe unataka kudhihirisha maneno ya Luc [emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
 
Sio sure boy atoke aikane bali hyo barua ni upumbavu mtupu.
1.haina sanduku la posta la mwandishi wala la mpokeaji.
2.Tarehe ya hyo barua imeandikwa tarehe 12 badala ya tarehe 11 ambayo ilikuwa jana..
3. hakuna SAINI ya mwandishi.

Sure Boy atoke hadharani aikane barua hiyo. Mengine ni porojo tu.

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Hawa hata sakata la morrison kuna utapeli wamefanya haiingii akilini wewe useme mchezaji ana mkataba wa miaka 2 alafu mchezaji mwenyewe aseme ana mkataba wa miezi 6.

Ina maana wakati anasaini huo mkataba wa miezi sita alikuwa HANA AKILI?.
kweli tunasema morrison dish limeyumba ndo ashindwe kujua tofauti ya mwezi na miaka?
Yanga Africa matapeli sana

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom