Dogo hata chai hajapataKizazi cha kuanzia 2000 kikiachwa tu kifanye vile kinavyotaka, basi kuna hatari kubwa sana mbele ya safari inaweza kutokea kwenye jamii yetu. Huu ni utabiri wangu tu.
๐๐Dogo hata chai hajapata
Yupo asubuhi hii kuandika kuhusu Yanga
Naona mmeanza kuja kwa mafungu sasa.Kizazi cha kuanzia 2000 kikiachwa tu kifanye vile kinavyotaka, basi kuna hatari kubwa sana mbele ya safari inaweza kutokea kwenye jamii yetu. Huu ni utabiri wangu tu.
Ni maoni yake mkuu kwani yana Athiri vipi matokea ya yanga?Dogo hata chai hajapata
Yupo asubuhi hii kuandika kuhusu Yanga
Kwani Yanga afungiwe asifungwe yeye ananufaika na Nini?Ni maoni yake mkuu kwani yana Athiri vipi matokea ya yanga?
Tunanufaika mkuu siku hiyo nakula bia za kutosha๐Kwani Yanga afungiwe asifungwe yeye ananufaika na Nini?
Mnakuja kwa kunyataMuda si mrefu mtarudi kwenye nyimbo zenu pendwa
๐๐๐Tunanufaika mkuu siku hiyo nakula bia za kutosha๐
Ndiyo muelewe utani.Dogo hata chai hajapata
Yupo asubuhi hii kuandika kuhusu Yanga
Acha dharauNdiyo muelewe utani.
NB:Unayemuita dogo unaweza kukuta ni mjomba wako kakuzidi miaka kumi na bee.Be careful wewe utopolo ze boss!
Sisi tupo tu humu jukwaani miaka yote. Hayo ya kuja kwa mafungu unayajua wewe.Naona mmeanza kuja kwa mafungu sasa.
Hatujasahau
Mimi nataka mkandwe mpka mvurugane kabisa na magoma apewe timu๐๐๐๐
Sawa Mkuu furahi
Tulia wewe!Kufungwa mara tatu tu ndiyo ulielie?๐คฃ๐คฃ๐คฃAcha dharau
Sina mjomba hayawani
Naunga mkono hojaMimi nataka mkandwe mpka mvurugane kabisa na magoma apewe timu๐