Yanga waiponza Serengeti Boys TFF wako busy na uchaguzi wa Jangwani

Yanga waiponza Serengeti Boys TFF wako busy na uchaguzi wa Jangwani

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Nawaza tu kwamba kwa sasa kipaumbele cha TFF ni uchaguzi wa Yanga na wala siyo mashindano ya Afcon.

Maendeleo hayana vyama!
 
Hahaha yale majezi waliyo vaa leo madogo wamepokea kipigo kitakatifuuuu.....alisikika mchambuzi mmoja wa soka
 
Yanga haijaponzwa na TFF imeponzwa na mashabiki wake wenyewe,walikuwa wanaishangia coastal Union walisahau kama timu yao inacheza kule morogoro ....
 
Back
Top Bottom