J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Apr 17, 2019 #1 Nawaza tu kwamba kwa sasa kipaumbele cha TFF ni uchaguzi wa Yanga na wala siyo mashindano ya Afcon. Maendeleo hayana vyama!
Nawaza tu kwamba kwa sasa kipaumbele cha TFF ni uchaguzi wa Yanga na wala siyo mashindano ya Afcon. Maendeleo hayana vyama!
luangalila JF-Expert Member Joined Jan 12, 2014 Posts 6,346 Reaction score 6,928 Apr 17, 2019 #2 Hahaha yale majezi waliyo vaa leo madogo wamepokea kipigo kitakatifuuuu.....alisikika mchambuzi mmoja wa soka
Hahaha yale majezi waliyo vaa leo madogo wamepokea kipigo kitakatifuuuu.....alisikika mchambuzi mmoja wa soka
Ochumeraa JF-Expert Member Joined May 18, 2015 Posts 4,505 Reaction score 5,715 Apr 17, 2019 #3 Yanga haijaponzwa na TFF imeponzwa na mashabiki wake wenyewe,walikuwa wanaishangia coastal Union walisahau kama timu yao inacheza kule morogoro ....
Yanga haijaponzwa na TFF imeponzwa na mashabiki wake wenyewe,walikuwa wanaishangia coastal Union walisahau kama timu yao inacheza kule morogoro ....