Tofauti IPO!zile za Vodacom Hazina ubora but hizi ziko poa.
Materials'
Aaaaf aliezipokea haaminikiHii jezi ya Vodacom ni nzuri kuliko hiyo ya Sportpesa. Angalia positioning ya logo.
Mbona hiyo logo ya sportpesa imeshuka sana haipo center of the jersey.View attachment 558898
Hatimaye Yanga wamekabishiwa jezi zao za msimu ujao na wadhamini wao SportPesa.
Yanga ilicharuka baada ya jezi zao kukabidhiwa na kampuni ya simu za mikononi ya Vodacom ambao ni wadhamini wa Ligi Kuu Bara.
Lakini leo, Yanga wamekabidhiwa jezi hizo na Abbas Tarimba, mmoja wa Wakurugenzi wa Sportpesa.
Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya klabu ya Yanga, Salum Mkemi ndiye aliyepokea jei hizo.